gery wa TB
New Member
- Aug 4, 2015
- 2
- 0
Vuma alifunga bao la mkono
>rushwa iliyokithiri yatajwa kuwa chanzo cha uchakachuaji
>wapiga kura 370 hawajulikani walitoka wapi
>Matokeo halali yabainika Mwl Bunyaga alimshinda Vuma kwa kura 454 (nakala imeambatanishwa)
>uchakachuaji mkubwa wabainika katika matawi ya Muzye,mutala,kanaani,nyabweru,makere,nyangwa na kalimungoma(nakala imeambatanishwa)
>Mwl Bunyaga agoma kusaini
>vyombo husika vinashughulikia kutatua sintofahamu ya mgogoro huo
ahsante tutazidi kuhabarishana yatayojiri