Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za uhakika ni kuwa yeye Malima alikuwa anahonga wapiga kura kwa dau la 80,000/, yaani ukionyesha kadi ya ccm unalamba misimbazi minane. Hela inamuuma ndio maana analalama.
Mbona wameanza mapema hv?
Nimeipata whatsup,kweli CCM ni ufalme uliofitinika! kule wasira,pale lugola,huko ndugai akijaribu kuua na hapa UVCCM Mara,kaazi kweli kweli!
Finally..huyu naye hakutakiwa kurudi tangu 2010 .