LANCET
Member
- Jul 16, 2012
- 40
- 5
Tumeshuhudia mgomo wa walimu ukianza kwa kasi ya ajabu hapo jana! Lakini cha kushangaza,leo karibia nchi nzima
walimu wamerudi kazini kimya kimya. Hii inaashiria nini? Je huu ni uoga au tuuite ni utiifu? Je kwa mtindo huu walimu kutishiwa siku moja tu na kuanza kusalitiana inaashiria nini?
Wana janvi mnasema je?