updates mgomo: walimu wasalitiana

updates mgomo: walimu wasalitiana

LANCET

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
40
Reaction score
5
Tumeshuhudia mgomo wa walimu ukianza kwa kasi ya ajabu hapo jana! Lakini cha kushangaza,leo karibia nchi nzima
walimu wamerudi kazini kimya kimya. Hii inaashiria nini? Je huu ni uoga au tuuite ni utiifu? Je kwa mtindo huu walimu kutishiwa siku moja tu na kuanza kusalitiana inaashiria nini?
Wana janvi mnasema je?
 
acha uongo mkuu mbona hapa nilipo hakuna cha mwalimu darasani wala shule balaa tupu labda wewe umewaona waalimu wa shule binafsi aisee....
 
lancet umetumwa!Hivi nyie mnalipwa kiasi gani kuspin?Oops
 
sidhani kama walikuwa mshikamano wa kutosha kabla ya kuanza mgomo!
wengi ni waoga wa kupoteza ajira!

chomboko.
 
Waache warudi, wajaze fomu za kujieleza, na baadaye wapewe Onyo kwa utovu wa nidhamu. Mgomo wameshindwa madaktari, itakuwa waalimu, "LIWALO NA LIWE"
 
uongo haulipi,sisi ndo walimu tuulize sisi acha kupayuka.
 
Waache warudi, wajaze fomu za kujieleza, na baadaye wapewe Onyo kwa utovu wa nidhamu. Mgomo wameshindwa madaktari, itakuwa waalimu, "LIWALO NA LIWE"

sidhani hakuna kitu kama iko madaktari mboni bado wanamgomo halafu wasasa ni soo hadi inatisha nenda muhimbili ujionee..
 
Walimu wengi wamerudi kazini leo naripoti hp Maswa shule zote hkn mgomo
 
tena mgomo wa leo ni zaidi ya jana trust me
 
Mm ni mwl na nimepumzika home muda huu. Mgomo kawa kawaida. HAKI HAIDHULUMIWI.
 
Tumeshuhudia mgomo wa walimu ukianza kwa kasi ya ajabu hapo jana! Lakini cha kushangaza,leo karibia nchi nzima
walimu wamerudi kazini kimya kimya. Hii inaashiria nini? Je huu ni uoga au tuuite ni utiifu? Je kwa mtindo huu walimu kutishiwa siku moja tu na kuanza kusalitiana inaashiria nini?
Wana janvi mnasema je?

Ngoja mjidanganye
 
Walimu wengi wamerudi kazini leo naripoti hp Maswa shule zote hkn mgomo
Mgomo upo palepale, nipo manispaa Mtwara/Mikindani, shule zote za msingi zimefungwa na chache za sekondari kuna walimu wa mazoezi ndio wanaofundisha zilizo nyingi zimefungwa!
 
acha uongo mkuu mbona hapa nilipo hakuna cha mwalimu darasani wala shule balaa tupu labda wewe umewaona waalimu wa shule binafsi aisee....

mkuu saa kumi na moja hii ulitegemea kuona mwalimu au mwananfunzi shuleni?au unaongelea tution??
 
jamani kuna ukweli fulani baadhi ya walimu wameaanza kuwasaliti wenzao mfano
nina gf wangu yuko moro anafundisha yeye kanipigia cm na kuniambia kuwa wenzake wawili wameona mgomo hauna maana kwao so kesho wanarejea kazini

mimi nikamwambia kuwa ackilizie wenzake kama watafikia nusu ya walimu na yeye aende kama hawafiki basi asiende ila kiukweli kabisa wameanza kusalitiana
 
Hebu angalau tuwape ushauri. Maana wameonyesha udhaifu mkubwa sana! MGOMO USIO NA KIKOMO HADI
KIELEWEKE ! Siku moja tu Wameufyata!!! Kweli hamnazo:A S-baby:
 
Join Date : 16th July 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Jana niliona ITV wakionesha baadhi ya walimu wachache wakisema wao hawagomi ila wengi waligomajana nchi nzima. Kwa kawaida hakuna mgomo ambao unawavuta wote kushiriki. lazima wasaliti wawemo. Hata tulipokuwa university wengine tukianzisha kunji wengine wanabaki vyumbani au wanasepa mtaani.Walikuwa wanafanya hivyo kwa kuogopa kipigo otherwise wasingegoma. Sembuse walimu walivyo waoga unategemea wagome wote!! Serikali ikichimba mkwara mzito utaona wasaliti wanaongeza siku hadi siku. Natamani wangesimama kwa umoja wao ili serikali iwape haki yao.lakini ninavyowajua walimu wataresort kwenye mgomo baridi tu kama madatari wanavyofanya sasa hivi. Poor Tanzanians!
 
Back
Top Bottom