Waache warudi, wajaze fomu za kujieleza, na baadaye wapewe Onyo kwa utovu wa nidhamu. Mgomo wameshindwa madaktari, itakuwa waalimu, "LIWALO NA LIWE"
Tumeshuhudia mgomo wa walimu ukianza kwa kasi ya ajabu hapo jana! Lakini cha kushangaza,leo karibia nchi nzima
walimu wamerudi kazini kimya kimya. Hii inaashiria nini? Je huu ni uoga au tuuite ni utiifu? Je kwa mtindo huu walimu kutishiwa siku moja tu na kuanza kusalitiana inaashiria nini?
Wana janvi mnasema je?
Mgomo upo palepale, nipo manispaa Mtwara/Mikindani, shule zote za msingi zimefungwa na chache za sekondari kuna walimu wa mazoezi ndio wanaofundisha zilizo nyingi zimefungwa!Walimu wengi wamerudi kazini leo naripoti hp Maswa shule zote hkn mgomo
acha uongo mkuu mbona hapa nilipo hakuna cha mwalimu darasani wala shule balaa tupu labda wewe umewaona waalimu wa shule binafsi aisee....