GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani timu iliyocheza ni Yanga au timu ya taifa?
Hata hivyo ni wachezaji watatu tu wa Yanga waliochezeshwa leo Dida, Nadir na Joshua
Mkuu acha kuwa mbishi...
Huyo unayemuita wewe Henry Morris unakosea, ni Henry Joseph na ndiye aliyecheza huko Norway baada ya kutoka Simba na pia msimu uliopita alikuwa Mtibwa...
Henry Morris ni mchezaji(mshambuliaji) wa zamani wa Taifa Stars na Prisons ya Mbeya. Wakati yupo Prisons alikuwa anacheza na kaka yake Oswald Morris.
Hii ni ile Prisons ya kina Kasonso iliyobeba ubingwa wa muungano kama kumbukumbu zangu zipo sahihi...
Baadaye Henry alichukuliwa na Yanga na mpira ukaishia hapo...
Wakati simba ipo imara hiyo timu ya taifa ilifanya nini cha kuliletea taifa sifa!!!"Bila simba imara taifa starz itayumba" by JKN.
Tukumbushe basi mwaka ambao simba ilikuwa imara na timu ya taifa ikafanya vizuri, aidha kufuzu kucheza AFCON au WORLD CUP.Nipo hapa mitaa ya jangwani.Kweli nikiziangalia ofisi za hii timu ya chama,najisikia uchungu sana.Yani kijani imefail kila idara,hongo za ushindi,ambazo tunaona effect zake kwenye T-stars.Narudia kusema bila simba kuwa vizuri,mpira tanzania ni marehemu.Simba hujenga falisafa ya ushindi.Ambayo huenea kwenye ligi.Chunguzeni soka la Tz,bila simba kuimarika tutaishia kulia tu.Yanga inapepo la kufungwa.
bora yanga walifungwa moja tena kwa shida...
hahahahha...walibakwa ila kwa shidaaaa sana...ila walibakwa tu...maana hakuna jinsi nyingine
Kumbe uelewa wako ni mdogo kiasi hichi!?by mkolaj;
Wakati simba ipo imara hiyo timu ya taifa ilifanya nini cha kuliletea taifa sifa!!!
Labda ungenikumbusha mwaka ambao simba ilikuwa imara na taifa starz ikawafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.
Mkuu mkolaj, mbona unatumia nguvu nyingi sana kukanusha "bila simba imara taifa stars itayumba"?
Ushahidi ni huu, TAIFA STARS INAVURUNDA LICHA YA YANGA KUWA ONFIRE NOW!
Kwa tabia hii ya timu ya Taifa inacheza nje huku tv zote watanzania hatuna uhakika Wa kurushiwa mechi safari yetu bado ni ndefu sana kwasababu katika hari ya kawaida mpaka sahivi hata kabla hatujaangaika kuuliza tulitakiwa kuwa tushaambiwa ni kituo gani kinarusha ila mpaka sahivi hamna, watanzania uzalendo umeisha kabisa
nlikurupuka mkuu hata mimi nimeona....... Yule ni henry joseph.. Stress tu mkuu jezi mpya hazijasaidia upande mwingine mkuu wa mkoa na kamati zake wanataka kutupora timu wakati tunahangaika nayo walituona wahuni leo tumeiweka kwenye ramani wanaitaka
Baada ya kutangazwa kuwa prezidaa pale tff Jamal Malinzi alimtimua kim poulsen then akamleta mcheza cinema Mart Nooij kuwa kocha wa taifa starz a.k.a Kichwa cha kujifunzia kunyoa, lakin tangu Nooij akabidhiwe kaz ya kuionoa starz katika mechi 17 starz imeshinda game 4, sare 4 na kufungwa game 9.Tangu Malinzi aingie madarakani kama sikosei timu ya taifa haiyawahi kushinda zaidi ya sare
"Bila simba imara taifa starz itayumba" by JKN.
Watanzania mnaweza kutangaza nia tu...
Uzalendo badae sana...