Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Kwani timu iliyocheza ni Yanga au timu ya taifa?

Hata hivyo ni wachezaji watatu tu wa Yanga waliochezeshwa leo Dida, Nadir na Joshua

sasa hata hao watatu wa yanga waliocheza na umewataja hapo ni "mafundi " kweli? unaweza kumfananisha dida na ivo mapunda? unaweza kumfananisha nadir haroub na hassan isihaka? unaweza kumfananisha oscar joshua na mohamed hussein tshabalala? na hao watatu uliowataja hayo magoli yote matatu yanawahusu na yamepitia kwao. delete kabisa michezaji ya yanga timu ya taifa weka wachezaji wengi na wanaojua wa simba sports club. mtanuna sana mwaka huu!
 
Mkuu acha kuwa mbishi...

Huyo unayemuita wewe Henry Morris unakosea, ni Henry Joseph na ndiye aliyecheza huko Norway baada ya kutoka Simba na pia msimu uliopita alikuwa Mtibwa...

Henry Morris ni mchezaji(mshambuliaji) wa zamani wa Taifa Stars na Prisons ya Mbeya. Wakati yupo Prisons alikuwa anacheza na kaka yake Oswald Morris.

Hii ni ile Prisons ya kina Kasonso iliyobeba ubingwa wa muungano kama kumbukumbu zangu zipo sahihi...

Baadaye Henry alichukuliwa na Yanga na mpira ukaishia hapo...

Nlikurupuka mkuu hata Mimi nimeona....... Yule ni Henry Joseph.. stress tu mkuu jezi mpya hazijasaidia upande mwingine mkuu wa mkoa na kamati zake wanataka kutupora timu wakati tunahangaika nayo walituona wahuni Leo tumeiweka kwenye ramani wanaitaka
 
"Bila simba imara taifa starz itayumba" by JKN.
 
"Bila simba imara taifa starz itayumba" by JKN.
Wakati simba ipo imara hiyo timu ya taifa ilifanya nini cha kuliletea taifa sifa!!!
Labda ungenikumbusha mwaka ambao simba ilikuwa imara na taifa starz ikawafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.
 
Nipo hapa mitaa ya jangwani.Kweli nikiziangalia ofisi za hii timu ya chama,najisikia uchungu sana.Yani kijani imefail kila idara,hongo za ushindi,ambazo tunaona effect zake kwenye T-stars.Narudia kusema bila simba kuwa vizuri,mpira tanzania ni marehemu.Simba hujenga falisafa ya ushindi.Ambayo huenea kwenye ligi.Chunguzeni soka la Tz,bila simba kuimarika tutaishia kulia tu.Yanga inapepo la kufungwa.
 
Tukumbushe basi mwaka ambao simba ilikuwa imara na timu ya taifa ikafanya vizuri, aidha kufuzu kucheza AFCON au WORLD CUP.
Acha porojo ninyi wazee wa kughushi mikataba ya wachezaji.
 
Mwandishi:Toka umekuwepo hapa FAT,soka letu limeshuka sana.

Je unakipi cha kuwaeleza wadau wa soka?

Ndoranga:Weka takwimu kwanza tuone ni lini soka letu limewahi kupanda.
_______________________________

In short soka la bongo linacheza lege tu.
 
Timu ya taifa langu inafungwa lakini wala sijisikii vibaya, sio sifa lakini hii inaonyesha jinsi gani tumeshakata tamaa.
 
by mkolaj;
Wakati simba ipo imara hiyo timu ya taifa ilifanya nini cha kuliletea taifa sifa!!!
Labda ungenikumbusha mwaka ambao simba ilikuwa imara na taifa starz ikawafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.

Mkuu mkolaj, mbona unatumia nguvu nyingi sana kukanusha "bila simba imara taifa stars itayumba"?

Ushahidi ni huu, TAIFA STARS INAVURUNDA LICHA YA YANGA KUWA ONFIRE NOW!
 
Last edited by a moderator:

Kumbe uelewa wako ni mdogo kiasi hichi!?
Tuambie mwaka ambao simba walikuwa ONFIRE na timu ya taifa ikafanya vizur katika mashindano..
 
Last edited by a moderator:
Kwa tabia hii ya timu ya Taifa inacheza nje huku tv zote watanzania hatuna uhakika Wa kurushiwa mechi safari yetu bado ni ndefu sana kwasababu katika hari ya kawaida mpaka sahivi hata kabla hatujaangaika kuuliza tulitakiwa kuwa tushaambiwa ni kituo gani kinarusha ila mpaka sahivi hamna, watanzania uzalendo umeisha kabisa

Good says
 
Tangu Malinzi aingie madarakani kama sikosei timu ya taifa haiyawahi kushinda zaidi ya sare
 
nlikurupuka mkuu hata mimi nimeona....... Yule ni henry joseph.. Stress tu mkuu jezi mpya hazijasaidia upande mwingine mkuu wa mkoa na kamati zake wanataka kutupora timu wakati tunahangaika nayo walituona wahuni leo tumeiweka kwenye ramani wanaitaka

mkuu wa mkoa gani huyo?
 
Tangu Malinzi aingie madarakani kama sikosei timu ya taifa haiyawahi kushinda zaidi ya sare
Baada ya kutangazwa kuwa prezidaa pale tff Jamal Malinzi alimtimua kim poulsen then akamleta mcheza cinema Mart Nooij kuwa kocha wa taifa starz a.k.a Kichwa cha kujifunzia kunyoa, lakin tangu Nooij akabidhiwe kaz ya kuionoa starz katika mechi 17 starz imeshinda game 4, sare 4 na kufungwa game 9.
 
Timu ya Taifa ziwe nyingi tu ili kutoa nafasi kwa kila mchezaji wa ligi kuu kuchezea Stars.Timu ziwe hivi
1.Mbeya city+Prisons+timu moja from Zanzibar
2.Ndanda+Azam+Zanzibar
3.Yanga+Simba+Zanzibar
4.Coastal+Mgambo+Zanzibar
5.Mwadui+Stand+Zanzibar
Nk
Kila mchezaji aonje kuchezea Stars,hii ni bora liende maana hata hao wazuri tunaowachagua kila siku kutoka Azam,Simba na Yanga hawatufikishi popote.Heri tugawane tu umaskini
 
Back
Top Bottom