GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkude hafanyagi kitu stars
Tukicheza man to man watatuua mkuu, hapa ni kucheza kama inter ya 'special one' everybody behind the ball tupate hata draw!!
Taifa Stars sijui hawajakula, wakiguswa tu wanapepea watu wanachukua mpira.
Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
nadir haroub " cannavaro " anafanya nini? acha upoyoyo wako uliotukuka. mkude si unaona hapo anavyohangaika katikati na hapati ushirikiano? au huoni mkuu? kwanza samahani naomba kujua hapo ulipo unauangalia huu mpira au unataka tu kunipotezea muda wangu huku wewe ukiangalia mpira kwa kupitia simulizi tu za watu humu? nadhani utakuwa huna tofauti na wale mashabiki wetu wa kibongo wanaoingia mpirani zikiwa zimebaki dakika 15 mpira kuisha ( fungulia mbwa au ng'ang'a ) sasa subiri waingie zikiwa zimebaki hizo dakika halafu mpira uishe uone watakavyohadithia kwa uwongo na kweli utadhani wametizama mechi full time!
angalau sasa wanatia matumaini.
hata mimi huyo henry morris wako simjui je ni mchezaji wa kutoka ulaya au?
mpira matokeo siku hizi, anao anao mwachie barcelonaNdio wamejitahidi kubutua.
Chanel gani wanaonyesha?
Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
ethiopia kuna lishe kweli? wao wenyewe miili yao ni ya " mbu " full kukondeana kwa matatizo ya lishe halafu timu imeweka huko kambi wiki moko unadhani watakuwa na stamina kweli mkuu?
Kipindi cha pili kinaanza...
Shida yako umeingiza usimba na uyanga!! mi siko huko mkuu
mpira matokeo siku hizi, anao anao mwachie barcelona