GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkude hafanyagi kitu stars
nadir haroub " cannavaro " anafanya nini? acha upoyoyo wako uliotukuka. mkude si unaona hapo anavyohangaika katikati na hapati ushirikiano? au huoni mkuu? kwanza samahani naomba kujua hapo ulipo unauangalia huu mpira au unataka tu kunipotezea muda wangu huku wewe ukiangalia mpira kwa kupitia simulizi tu za watu humu? nadhani utakuwa huna tofauti na wale mashabiki wetu wa kibongo wanaoingia mpirani zikiwa zimebaki dakika 15 mpira kuisha ( fungulia mbwa au ng'ang'a ) sasa subiri waingie zikiwa zimebaki hizo dakika halafu mpira uishe uone watakavyohadithia kwa uwongo na kweli utadhani wametizama mechi full time!