Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Dk 90 FT

Misri 3 - 0 Tanz
 
Live Commentary

FT: Egypt 3-0 Tanzania. The Pharaohs powered their way to an ultimately comfortable win. Stay tuned for the match report and post-match reactions.
 
Mnavamia fani za watu, lazima wawabutue tu. Mkitaka kufuta uteja waambieni CECAFA, AFCON, FIFA waanzishe kombe la UFISADI. Hapo kila nchi tutakayo kutana nayo haijalishi weupe au weusi tutawapiga wala hilo halina mjadala!

Wala hamhitaji kupeleka team kufanya mazoezi, mazoezi yamefanyika kwa zaidi ya miaka 55 kinacho kosa ni mechi za kirafiki, kushindania makombe balani Africa na Dunia. Team kuanzia kwa marais hadi mabalozi. Hamhitaji kocha wala nn. Na kama shetani atasikia kilio (nasikia wanasari sana), mkibahatishwa Rais atakuwa mkufunzi mkuu aliye hitimu kwa viwango vya Kitaifa na Kimataifa! SAMAHANI, kuna ambao nimewasaidia kuongeza siki za kuishi, na kwa wale mnao sikitika pole yenu kwa kufungwa, mpira si kipaji chenu!
 
kama kawaida yetu tz wazee wa mkiani
tumerekea nafasi yetu ya mkiani.
hongera malinzi kwa kufanikiwa ku tetea nafasi yetu.
 
Hata mkiomba raia wa nchi nyingine kama England walioshinda leo, bado itauma kama nchi ya kuzaliwa inafungwa.
 
Kweli hili ni bichwa la mwenda wazimu maana kichwa ni kizuri kuliko bichwa ambalo ni kubwa na limekaa hovyohovyo tu.aibu tena leo na bado. Kila timu tulopangwa kundi moja itatufunga
 
Henry Morris msimu uliopita alikuwa Mtibwa,akitokea Simba ambapo alichezea baada Ya kutoka Kovinger Ya Norway. Na before alikuwa Simba. Aliechezea Prison ni Oswald Morris! Henryhajawi kuchezea Prison

Sio kweli! Unayemzungumzia wewe ni H.joseph
 
Hi timu bora iuzwe inagarimu pesa nyingi,hz pesa zingepelekwa kwa wanafunzi
 
Back
Top Bottom