momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Sio kweli! Unayemzungumzia wewe ni H.joseph
Kilichonifurahisha ni huyu mkuu kuandika kishujaa halafu alichokiandika sio chakweli teh teh Henry Joseph shindika kiuongo Fundi Wa mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli! Unayemzungumzia wewe ni H.joseph
Nadhani muziki kwa sasa unaleta maana zaidi ya fani zingine zote za michezo Tanzania. Kwingine kote tumeshindwa..
Hi timu bora iuzwe inagarimu pesa nyingi,hz pesa zingepelekwa kwa wanafunzi
Ahahaaa,umesahau ile fani moja ya "KUTANGAZA NIA"
Wamejitahidi sana kupunguza mabao, maana Yanga ya mwaka ule walipigwa 6-0. Hongereni Pluijm na muajiri wako Malinzi
Auziwe Malinzi na Lowassa!
Henry Morris msimu uliopita alikuwa Mtibwa,akitokea Simba ambapo alichezea baada Ya kutoka Kovinger Ya Norway. Na before alikuwa Simba. Aliechezea Prison ni Oswald Morris! Henryhajawi kuchezea Prison
Kana sijaachana na soka mwaka huu stakuja kuacha,shabiki wa liverpool,simba na taifa stars...
Acha kuongea bila Facts kama unatokea kwenye vijiwe vya bange!Wamejitahidi sana kupunguza mabao, maana Yanga ya mwaka ule walipigwa 6-0. Hongereni Pluijm na muajiri wako Malinzi
Dida, Kapombe, Nadir, Aggrey Morris, Oscar Joshua, Mkude, Nyoni, Kazimoto, Kiemba, Ulimwengu, Samatta