UPDATES: Mliowahi mjini tujuzeni Jangwani panapitika na mvua hii?

UPDATES: Mliowahi mjini tujuzeni Jangwani panapitika na mvua hii?

Hakimu Mfawidhi,

Babu viscous ana kuambia nchi masikini Kwasababu ni masikini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kawawa road yote Ina patika kuanzia mataa ya chang’ombe hadi Driving cenema huko mbele sijui


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakimu Mfawidhi,
Inabidi wazungu wengi wapewe uraia ili angalau walete maendeleo kama south Africa labda itasaidia. Sisi bado sana. Na ukiangalia tatizo sio serikali, tatizo ni washauri wa serikali kuhusu vipaumbele na maeneo ya kuendelezwa. Hv ulishawahi kujiulza kwann wakandarasi wengi huweka karavat mbali kidogo na maeneo korofi badala ya eneo lenyewe? Ni kuwa watu wanawaza matumbo yao kwanza, anajua akishauri tatizo liondolewe kabisa anaweza akakosa kazi.
 
Hakimu Mfawidhi,
tunaenda kujenga uwanja wa ndege Chato wakat kigoma hadi leo hawana barabara,tren zimebak behewa mbili tu.aggggggrrrrrrr
 
Mliopo Dar hebu mjibuni jamaa basi maana badala ya kumjibu swali mijamaa imeanza kulalama na kuishtum serikali
 
Back
Top Bottom