UPDATES: Mliowahi mjini tujuzeni Jangwani panapitika na mvua hii?

Jangwani ni uzembe wa mamlaka. Pale kuna mkondo wa maji (mto). Lakini kwa ujinga wao wakaenda kujenga na kutupa takataka kwenye mkondo wa maji. Matokeo yake tunalipa kwa gharama kubwa. Ujinga wa mwafrika.
 
Ndo ujue namna ambavyo watu wapo brainwashed.

Wanaamini mvua ni kosa la serikali wanasahau wanavyokata miti ili wajenge majumba yao ya kuishi huchangia maafa ya mazingira
Mliopo Dar hebu mjibuni jamaa basi maana badala ya kumjibu swali mijamaa imeanza kulalama na kuishtum serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maxence Melo wekeni huu uzi uwe sticky ili kila mvua ikinyesha watu wapeand updates kama panapitjka au pamefungwa...

...Whilst mwenye mkoa wake hana hata habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…