Dona unalitoa mkoa gani??vipi inalipa vizuri biashara hiyo??Habari wadau.
Jana nilivuka Salama mlima wami.Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.
Nikajipongeza mpaka saa tisa msata.Asanteni Kwa dua zenu Jf.Nipo Goba nashusha dona hapa virikuu vinagombea mzigo kama nyama siku ya sikukuu.
KitetoDona unalitoa mkoa gani??vipi inalipa vizuri biashara hiyo??
Manyara kiteto
[emoji28][emoji28] nenda kule kwenye post ya kwanza...watu walishasema "upumzike kwa amani" maana kila tukikuuliza umevukaa hujibu..basi MUNGU ni mwema na hongera na uzoefu umepata.Habari wadau.
Jana nilivuka Salama mlima wami.Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.
Nikajipongeza mpaka saa tisa msata.Asanteni Kwa dua zenu Jf.Nipo Goba nashusha dona hapa virikuu vinagombea mzigo kama nyama siku ya sikukuu.
Niliwajibu sijapumzika Kwa Amani.[emoji26][emoji28][emoji28] nenda kule kwenye post ya kwanza...watu walishasema "upumzike kwa amani" maana kila tukikuuliza umevukaa hujibu..basi MUNGU ni mwema na hongera na uzoefu umepata.
Sawa mjuajiGoba sio dar
Dar hakuna milima
🤣🤣🤣🤣Usisahau kukatiza Sinza uione Dar ilivyo na wanawake wenye maadili ya Kitanzania na yampendazayo Mama Hamia Sahan Sururu
hahaha kwenye totoz za UTi siyoUsisahau kukatiza Sinza uione Dar ilivyo na wanawake wenye maadili ya Kitanzania na yampendazayo Mama Hamia Sahan Sururu