Updates: Nimefika Salama Dar nipo Goba nashusha mzigo

Dun duu

Senior Member
Joined
May 28, 2022
Posts
132
Reaction score
213
Habari wadau.

Jana nilivuka Salama mlima wami. Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.

Nikajipongeza mpaka saa tisa msata.Asanteni Kwa dua zenu Jf.Nipo Goba nashusha dona hapa virikuu vinagombea mzigo kama nyama siku ya sikukuu.
 
Habari wadau.

Jana nilivuka Salama mlima wami.Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.

Dona unalitoa mkoa gani??vipi inalipa vizuri biashara hiyo??
 
Habari wadau.

Jana nilivuka Salama mlima wami.Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.

Nikajipongeza mpaka saa tisa msata.Asanteni Kwa dua zenu Jf.Nipo Goba nashusha dona hapa virikuu vinagombea mzigo kama nyama siku ya sikukuu.
[emoji28][emoji28] nenda kule kwenye post ya kwanza...watu walishasema "upumzike kwa amani" maana kila tukikuuliza umevukaa hujibu..basi MUNGU ni mwema na hongera na uzoefu umepata.
 
Back
Top Bottom