Habari wadau.
Jana nilivuka Salama mlima wami. Japo niliuma jino Kwa kukanyaga wese bila kutikisika tingo alinisemesha kitu sikumjibu mpaka nilipofika pale jeshini Getini.
Nikajipongeza mpaka saa tisa msata.Asanteni Kwa dua zenu Jf.Nipo Goba nashusha dona hapa virikuu vinagombea mzigo kama nyama siku ya sikukuu.