Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

hivi yanga wanashika nafasi ya ngapi au watashuka daraja
 
Half time hyo, mnyama ameshatupa rah bao 1. Kipindi cha pili Mungu mkubwa tutaongeza zingine 2.
 
refa akitoa kadi wange mpiga hawa yanga wagomvi sana achatuwafunge magoli yasiyo na utata..
Pale refa aliamua kuvaa miwani ya mbao, maana alikuwa karibu kabisa lazima aliiona na akaamua kuipotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…