Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

hivi yanga wanashika nafasi ya ngapi au watashuka daraja
 
Half time hyo, mnyama ameshatupa rah bao 1. Kipindi cha pili Mungu mkubwa tutaongeza zingine 2.
 
angalia majukwaa
574606_10150873485604345_817319344_9413784_1038116043_n.jpg jukwaa la simba juu la yanga chini
542153_362094420505497_100001148267826_987716_809425928_n.jpg
 
refa akitoa kadi wange mpiga hawa yanga wagomvi sana achatuwafunge magoli yasiyo na utata..
Pale refa aliamua kuvaa miwani ya mbao, maana alikuwa karibu kabisa lazima aliiona na akaamua kuipotezea.
 
Back
Top Bottom