Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Goooooooo..!!!! Aaaaaaah...!!! PENALT!
 
Kasejaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 4.
 
Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezo

Kwa yanga ipi ya kusbiri kuona ushindi mwisho wa mecchi?zaidi watachapwa bao la 3 na la 4
 
Simba rahaaaaaaaa....!!!!!!

Simba piga WIKI hao Yanga! Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......!!!!!!!
 
Yanga mbona mnatia huruma jamani,
hata kututia kashkash kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…