NANUKUU POST YANGU HII SIKU YA MECHI YA SIMBA NA ALHLY
Baaada ya kufunga goli 3 katika dakika 66,77,88 nilieleza hii ilikuwa na maana sana kinyota kwa simba mwaka huu kisoka.
NAMBA YA BAHATI (6+6+7+7+8+8=42=4+2=6) KWA SIMBA NI 6 (s-perfect number). Namba hii kwa vile huunda na namba 1,2 na 3 inaashiria kuwa Simba katika mashindano haya itakuwa na uwezo wa kufunga kati ya goli 1, 2, 3 au 6 katika michezo yao yote. Ukifuatilia mechi zao za nyuma ndivyo alivyokuwa. Namba 6 huashiria furaha hivyo kila mechi simba watakayocheza tutegemea furaha kutoka kwao