Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

simba imetosha, mnakoelekea sasa mtakufuru! au mnataka kuvunja rekodi yenu ya bao 6 bila?
 
Kesho Jangwani itakuwa uwanja wa masumbwi :boxing:
 
Historia itakayowahuzunisha malapa daima!
BRAVOO MNYAMA!
 
Miaka ile ya sabini (1976?), Yanga alipotundikwa 6-0, kulikuwa na mgogoro kwenye club ambao ulipelekea kuzaliwa kwa Pan African. Viongozi wa Yanga hawajawahi kujifunza athari za migogoro? Hii ni aibu kubwa sana kwa club. Japo siombei, club akisambaratika baada ya mechi hii, nitakuwa mmoja kati ya ambao hawatashangaa.
 
Aisee, kumbe hata ile timu ya wanawake ya Msimbazi wangewamudu watani zetu hawa.
 
Full time: Simba 5-0 yanga, ni mimi ripota wenu Masuke kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 
yanga hoi simba ni mnyama mkali msipime tena kutia mguu katika himaya yake
 
Kama miaka hiyo ya 1970 kipigo cha 6 - 0 kilisababisha pan african ikaundwa, leo hii itaundwa timu gani baada ya 5 - 0?
 
Dah!!!.....

Hii ni FEDHEHA sasa.....

Watani hamna hata HURUMA kwa Mgonjwa?........Vibaya hivyo....

Btw....Tunastahili aina yoyote ya KIPIGO kutoka kwa SIMBA...

Hongereni sana Watani kwa ushindi huu mnono ambao utachagiza upokeaji wa Kombe la Ubingwa wa EPL.....

Kweli nimeamini(mwaka 2011/2012) aungurumapo Simba mcheza nani?........Tunajipanga nasi mwakani.....

Kila la heri katika CAF CL........

Tusinyimane mualiko na kadi ya sherehe ya UBINGWA jamani...

Bala.
 
Yanga poleni sana. Kichapo si kidogo.
 
sikutegemea kama simba wangeweza kushinda kwa idadi hii ya magoli sasa tusubiri yatakayotukia jangwani
 
Back
Top Bottom