Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuwa unataka wafanyaje...hao waliokupa 'like' sijui wameelewa ulichoandika?, au wamekupa tu,sababu wali "press button!"
Timu ya dar young africans wamefanya usajili wa wachezaji wawili,kipa benno kakolanya kutoka kwa wanajelajela wa kutoka mbeya city prisons,wapili ni beki wa kati vicent andrew kutoka kwa wakata miwa wa mtibwa sugar
Hii nayo ni breaking news.
Chura buana [emoji196] [emoji196]
HAMNA CHENU THIS YR.....MATOPENI NYIE...Hii nayo ni breaking news.
Chura buana [emoji196] [emoji196]