Solid Ground Family wanapiga LIVE,Kitu kinachonishangaza hawaimbi live🚮
Wametisha sanaSolid Ground Family wanapiga LIVE,
Duh! 😄😄😁 nimecheka mnoMbona sound mbovu au ni masikio yangu?
Hapana hapo ni wakongwe tuNa hawa wasanii wa sasa akina marioo na wao watatumbuiza pia
Bonge la ngomaNimesikia kibao cha Mkuki Moyoni nikakumbuka mbali
Sana mkuu…Bonge la ngoma
Verse ya Jebby anaimba AfandeRIP Jebby
Inapigwa swahiba
YeaaahVerse ya Jebby anaimba Afande
Zipo nyingi Tamala, Ni wewe na NyinginezoHard mad kenge sana.
Alipost clip akidai amenyimwa nafasi kwavile anaogopwa.
Mzenge kapanda jukwaani hajui kuperform kazi kupiga kelele kuwaambia watu "Huku sisikii, na kule twende" halafu jamaa ana wimbo mmoja tu wa Tamala. So karukaruka kamaliza anasema anashukuru kwa support.
Kenge sana pimbi huyu
😂😂😂Hard mad kenge sana.