Unazingua jamaaKama hawampandishi Ngwair, hamna tamasha, ni bashasha.
SafiNaam, nishashika siti ya mbele kabisa. Nina kama masaa 2 tangu nimekaa
We live your lifeWazee wa kale keupe wakiingia utuambie..You bera watch your back usisahau.
Next time wajipange vizuriNa kaukumbi kenyewe kama kadogo hivi
Sidhani kama yupo kwa listIkifika zamu ya Ray C kiuno laini hakina mfupa nitag.
Namsikilizia nione atakuja na jipya ganiNext time wajipange vizuri
Nilitamani kuona mbwembwe za dudu baya ila ndo hivyo nina usingizi
Kinoma.. ni kama hawakujipanga vileHawa ma-mc wanazingua 🚮🚮
Wapo liveNasikia TVE wapo live, mimi mahali nipo ni wanazi wa WC.