UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Hard mad kenge sana.

Alipost clip akidai amenyimwa nafasi kwavile anaogopwa.

Mzenge kapanda jukwaani hajui kuperform kazi kupiga kelele kuwaambia watu "Huku sisikii, na kule twende" halafu jamaa ana wimbo mmoja tu wa Tamala. So karukaruka kamaliza anasema anashukuru kwa support.

Kenge sana pimbi huyu
Hili tamasha kwa maandalizi na muitikio lina mpunga wa maana sana so alikua anatafuta gap la kupiga hela. Kuanzia kiingilio, wadhamini na mkono wa sirikali pioneers wa hiyo idea kina Made na Fid Q wanaenda kua matajiri, ama nasema uongo ndugu zangu?😅
 
Back
Top Bottom