Ila Juma Kassim Nature Kiroboto ni mbinafsi sana. Au ana bifu,visasi na vinyongo sana.
Yeye aliingia baada ya Inspector Harun Babu. Kabla hajaingia Babu alikua akiimba wimbo wa Mzee wa Busara walioshirikiana, na Babu alimuita kabisa Kiroboto lakini hakutokea.
Baada ya Kiroboto na Crew yake waliefuata ni Mabaga Fresh. Hawa wana wimbo wa "Mtulize", wimbo ambao Kiroboto yupo pia, so ilitakiwa abakii kwa stage, lakin akasepa zake.
Watu kama Mabaga kwa hali yao sio wa kuwawekea bifu. Na hasa ukichukulia "Mtulize" ni moja ya nyimbo zilizomtangaza (Zilizomtoa) Kiroboto.