UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Duh, hili tamasha ni kipimo kizuri cha kuendelea kukubalika kwa msanii yeyote. Jamaa amezingua sana.
Dharau kibao wakati amejaa njaa tu
Yeye anajiona wa maana kuliko wasanii wote walioenda.
Abaki hukohuko hatumtaki.

Na hii show Yao imepata mapokezi makubwa
Probably itaenda Hadi mikoani.
Waende na walio tayari.
 
Kala pina aliwahi kumteka Salama Jabir

Wengine wanasema alimtolea posa Mr Blue pamoja na Voice Wonder

Sijui ukweli upoje
Ukitaja wana.muziki wahuni pure Bkngo hii basi ni Blue na Dully, muziki wanaoimba ndiyo unawafanya waonekane walaini. Sasa hao jamaa wawili pale kikosi maskani walikuwa wanaingia na kutoka kama kwao na no ni washkaji wakubwa wa Kalapina.

Ishu ya kutolea posa ilipoletwa ma magazeti ya Shigongo, Pina alimfuata Blue na kumwambia dogo tuwaburuze mahakamami. Blue akamwambia achana nao washamba watu hao.

Kiufupi hizo story magazeti ya Shigongo yaliipika.
 
Suala la live band wengi wanataja wasaniii kama Kiba, Jaydee, Joslin ila upande wangu kuna kiumbe anaitwa Marlow. Yule mtu akipiga live ana sauti ileile ambayo unaisikia kwenye wimbo wake, bado anashuka vyema na mdundp.
 
wewe hanisi naona umenifananisha na mabwana zako
wewe endelea kuuza matako humu

1783759340279.png
 
Kombe la dunia mwaka uliopita nakumbuka ulimtabiri bingwa kupitia uzi uliofungua…, vipi na mwaka huu ni nyie nyie waziwanda wa FIFA au? 😀
 
Back
Top Bottom