UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Hiyo ya Doro ndio yupo pia KR

Kumbuka Doro, KR na Nature walikuwa wana kundi lao linaitwa GWM
Doro,KR na nature kundi lao liliitwa wachuja nafaka,

GWM - Gangster with Matatizo ni kundi la KR akiwa na wenzake kabla ya baadaye kuja kuungana na Nature & Doro wakatengeneza kundi la wachuja nafaka
 
Hili tamasha lina tofauti gani na bongo flava honors ya Sugu?

Huu naona ni mkusanyiko wa wasanii kuonjesha kazi zao za zamani tu bila mpangilio maalum. I'd prefer bongo flava honors to this.
Kuna wasanii hawajaimba chochote zaidi ya kusema tu piga makofii sisikii kelele
 
Back
Top Bottom