endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,680
- 2,760
We live our life men..Dudubayamamba24 akipanda jukwaani unitag mkuu.
We live our life men..Dudubayamamba24 akipanda jukwaani unitag mkuu.
Mpaka kaamua aache tu kaona ataharibu aiseeGame iko half time nikasema nipite huku kidogo...nimekutana na jambo zuri sana.
Jamaa anasema serikali ya awamu ya sita tu watu wanazomeaaa
Watu wanajielewa sanaCcm haipendwi aiseee
Anafanyaje mkuu? Mimi nipo hapa kwanza natazama soka la world cup.Huyu Babu Tale, kama ni mpira hauna upepo
Dah! Ngoja tucheki game tu kule...Mpaka kaamua aache tu kaona ataharibu aisee
Kwa sababu ya mama Abdoul au nini..Lete maneno ndugu mhabarishaji.Watu wamezomeaaaa
UsijalliDudubayamamba24 akipanda jukwaani unitag mkuu.
Samuya anajitahidi kujikomba kwa wananchi lakini bado hawamuelewi. Mpaka arudishe maiti za ndugu zao wakazike.Game iko half time nikasema nipite huku kidogo...nimekutana na jambo zuri sana.
Jamaa anasema serikali ya awamu ya sita tu watu wanazomeaaa
SahihiWanasiasa wajifunze ,watu washachoka na hii serikali ,mmewaumiza sana mioyo yao! Hawataki kusikia mambo ya serikali hii ya awamu ya 6 huku ikiua raia.
Bora babu Tale na Madee wamemshauri Mwana Fa aachane na kuongelea siasa aije akaharibu Show.
Sugu aliona mbali sana kwenye Bongo Flava Honour kumkatalia RC chalamila kuongelea siasa naona Mwana FA kaona impact yake.
Yeaaah men😅😂🤣We live our life men..
Pamoja sana mkuu. Kama uko live akipanda umrekodi unitupie kwenye tag.Usijalli
Unanipa kazi ambayo ni ngumuPamoja sana mkuu. Kama uko live akipanda umrekodi unitupie kwenye tag.