Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,948
Hawa jamaa watamaliza kweli leo? Wako wengi afu kibao tu hawajapanda stajini. Kuna ratiba nimeona sehemu Konki Master Mambaz 24 amewekwa wa mwisho. Nadhani ataimba muda wa kupiga mswaki saa 2 asubuhi 😅😅😅😅