Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #201
RIP Man Dojo
Simba mashauzi mengi, mwenzake Kiba yupo kama shabiki hana shidaeh why king na kwenye waache waoane hajamuita simba
yeah ni kwelii nimemuona ana furahia show za wakubwa zakeSimba mashauzi mengi, mwenzake Kiba yupo kama shabiki hana shida
Dah jamaa ana struggle kinoma asije akaanguka apo jukwaani 😀😀Wanok nok🔥🔥
DuhDah jamaa ana struggle kinoma asije akaanguka apo jukwaani 😀😀
Verse yake ya Dingi ndio longest verse kwenye bongo flavambona katumia mda mwingi
ooh sawaVerse yake ya Dingi ndio longest verse kwenye bongo flava
Pia elimu mitaani ya DknobVerse yake ya Dingi ndio longest verse kwenye bongo flava
WamemzomeaaaaVip hawajaanza kumshukuru mama?
Nakubaliana na weweJoslin
Kassim mganga
Domokaya