Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Nature Top notchiiiii
Upepo bado anaoNature kama kawaida ameinuja na kijiji chake🔥
Hatari sanaMtoto Iddy kazua balaa...
Watu wanampenda sanaKiroboto Bado anakubalika sana
Anataka kumsifia MamaSasa baba levo anafanya nini hapo
😂😂 najua ulikuwa kuna namna yako unaimbaKumbe huu mstari Nature alikuwa anaimba "inuka kata kiuno ghetto". Sikuelewa miaka ile.
Wahenga mna mbwembweKumbe huu mstari Nature alikuwa anaimba "inuka kata kiuno ghetto". Sikuelewa miaka ile.
Ila kuimba live hamna kituUpepo bado anao
Hajifunzi yaliyomkuta FAAnataka kumsifia Mama