Hii inaumiza sanaSamuya anajitahidi kujikomba kwa wananchi lakini bado hawamuelewi. Mpaka arudishe maiti za ndugu zao wakazike.
Yupo sema kuwa mvumilivuangekuja 20% anitumbuize na kibao cha maisha ya bongo au mama nema ningeburudika zaidiiiii
Na kigugumize alichonachoGK sauti haitoki sijui fegi zimezidi
Ndiyo waelewe watu wana machungu mno na hii serikali iliyoua raia wake wengi mno halafu wapo kimya hakuna uwajibikaji ,watu bado wapo ofisini wanakula viyoyozi.Samuya anajitahidi kujikomba kwa wananchi lakini bado hawamuelewi. Mpaka arudishe maiti za ndugu zao wakazike.
Daah kwelNa kigugumize alichonacho
😂😂Kudadeki huyu king crazy Gk angezaliwa miaka hii hata nyimbo zake asingezisikia, nahisi alikuwa anabebwa na east coast
Tajiri fa anakula vizuri, pesa ipo, mazoezi, ana personal trainer wa mazoezi,daktari,yupo CCM,WAZIRI, kwanin asiwe na upepo.?Sema li fa bado lina pumz
Serikali ya awamu ya sita blah blah blah,Wamemzomea huyo boya; watu wapo kwenye burudani yeye anataka kuleta siasa ya mama yake. Pumbavu