T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hapa sasa utakadiria umri wangu. Ila wakati Kikwete anagombea nilikuwa naona Uchaguzi Mkuu ni harusi, Kikwete ni Bwana Harusi, Mkapa ni Askofu anayefungisha ndoa (sababu kanisani kwetu kulikuwa na picha yake) kwahiyo nilikuwa najua ndivyo Askofu alivyo akivua kofia.Mwaka gani