Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #341
Nyota Ndogo on the stage
Wameanza na pumzi nilijua inaweza kata njiani. Lead singer wao ndio nilijua atakata pumzi mapema. Wamemaliza sasa.Kitu gan?
Duuh nna usingizi kinyama ila sasa nalalaje?😀Mi niko siti ya mbele kabisa mkuu
Kitambo sana man. Wakati ni ukuta. Kuna wasanii wa University Corner niliwahi kutana nao nikaambiwa hawa ndio UVC dah mafaza.Natamani kweli ningeona hata picha. Maana sijaona show. Niliona clip ya sold ground family. Jamaa wamekua wababa
dadeqNyota ndogo sura ya Steve Nyerere ila body ya Poshy Queen
Kumbe Kwafujo ni kina Majizo. Basi nimesikia kazi zake akiwa DJ, Clouds nimeanza isikiliza 2010.Enzi hizo Majizo alikuwa DJ yeye na akina Abubakar Sadiki wakifahamika kama Kwafujo DJs
Yes mkuuKumbe Kwafujo ni kina Majizo. Basi nimesikia kazi zake akiwa DJ, Clouds nimeanza isikiliza 2010.
Na hapo kafanya make-upNyota ndogo sura ya Steve Nyerere ila body ya Poshy Queen
Na hapo kafanya make-up
Namuongeza DomokayaHadi sasa wasanii wazima wa sauti ni
Banana Zorro
Joslin
Kassim Mganga
Mwana FA
AY
Gk
Wengine wote Chali..sauti hakuna.
Hamna msanii ameimba vibaya kama Tundaman.. yaani tunda jamani kaimba hovyo kuliko wengine wote.
ulongo bwana kapaka maskalaNa hapo kafanya make-up
Kwa Fujo halisi ni Abubakar Sadiki wa Radio One, ikatoka kua jina lake likawa la Group of Djs. Ili washindane na Nyuki DJs (Clouds FM).Kumbe Kwafujo ni kina Majizo. Basi nimesikia kazi zake akiwa DJ, Clouds nimeanza isikiliza 2010.