UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Show imeishaaa wazee apo watakaokuja wajipangeee
Mjomba hasani Washa Koroboi Mbu wamezidii. Enzi hizo niko O-level mnajisomea umeme ukikata Mbu wanauma balaa afu joto inabidi muende nje mnawasha viredio vidogo mnakutana na DJ Malys na Sharbano Abubakar Kiss FM zinapigwa hizi Ngoma ni kushindana tu kucheza Mapanga hapo nje😅😅😅
 
Oya hatar RFA saa 8 mzee mpaka saa 10
Glory Robinson na Kidbway
Oya Rising mida hiyo huichukuiii
 
Back
Top Bottom