Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Huyu alikua na pupa sana, mpaka anapaliwa. Angetulia angefanya betterNamuongeza Domokaya
Huyu alikua na pupa sana, mpaka anapaliwa. Angetulia angefanya betterNamuongeza Domokaya
Hii hata mimi naijuaWatu na viatu inanikumbusha way back 2004/2005 daah nyakati zimekwenda wapi?
Ila longevity ya Abubakar Sadiki pale Radio One inahitaji mjadala siku mojaKwa Fujo halisi ni Abubakar Sadiki wa Radio One, ikatoka kua jina lake likawa la Group of Djs. Ili washindane na Nyuki DJs (Clouds FM).
Group likafa Abubakar akaendelea na jina lake
Kitambo sanaHii hata mimi naijua
Amejitahidi sanaHuyu alikua na pupa sana, mpaka anapaliwa. Angetulia angefanya better
Oyaa so pw ani hadi nimelia mtoto wa kiume, kumbe maisha yanakimbia hiviiWatu na viatu inanikumbusha way back 2004/2005 daah nyakati zimekwenda wapi?
Hii ngoma ni ya 2004 kuja 2006 ilikuws hot sana kama unaijua basi wewe utakuwa wa 98+Hii hata mimi naijua
Acha tu mkuu, miaka inakimbia, uzee unaingia bila hodiOyaa so pw ani hadi nimelia mtoto wa kiume, kumbe maisha yanakimbia hivii
Nyuki - Dj Steve B, Dj Muli B, Dj Nelly, Dj BonnyLuv na Dj Venture...kwa fujo Djs Kulikuwa na Dj Abubakar Sadiki na Dj MajizoKwa Fujo halisi ni Abubakar Sadiki wa Radio One, ikatoka kua jina lake likawa la Group of Djs. Ili washindane na Nyuki DJs (Clouds FM).
Group likafa Abubakar akaendelea na jina lake
Yes hapa nimekumbuka hili jina na ile tag yake. Ila sikuwa nakumbuka nimesikia rdido gani, nilidhani Clouds. Ila ni miaka ile ile 2010 pale.Kwa Fujo halisi ni Abubakar Sadiki wa Radio One, ikatoka kua jina lake likawa la Group of Djs. Ili washindane na Nyuki DJs (Clouds FM).
Group likafa Abubakar akaendelea na jina lake
Yaani sio pekee yako wadau wengi tuNyota ndogo kanikumbusha mbali sana
OYaa huyu ndo msanii aliyenikumbusha kumbukumbu za mbali kinomaa najikuta nakumbuka maish ya zamani daahNyota ndogo kanikumbusha mbali sana