DJ Muli B, DJ Bulla nimewasiliza Clouds kipindi cha Amplifier na Millard Ayo. Hao nawajua. Ila best DJ kwangu ni nani yule alikuwa anapiga Sindano 5 kali za moto Radio Free Africa.Nyuki DJ ulikuwa unakutana na akina Muli B, DJ Vencha na wengineo
Mada ni tamasha la mziki mimi nipo kwenye mpira , ni ulevi tu😁Sijakuelewa
Hata Fetty alianza kama DJDJ Muli B, DJ Bulla nimewasiliza Clouds kipindi cha Amplifier na Millard Ayo. Hao nawajua. Ila best DJ kwangu ni nani yule alikuwa anapiga Sindano 5 kali za moto Radio Free Africa.
Huyo alinipa introduction ya Rap Music ya mambele.
Unazingua bablai😂😂Mada ni tamasha la mziki mimi nipo kwenye mpira , ni ulevi tu😁
FredwaaaaaDJ Muli B, DJ Bulla nimewasiliza Clouds kipindi cha Amplifier na Millard Ayo. Hao nawajua. Ila best DJ kwangu ni nani yule alikuwa anapiga Sindano 5 kali za moto Radio Free Africa.
Huyo alinipa introduction ya Rap Music ya mambele.
Kuna mmoja sauti ya 2 anahamahama sanaBack vocal hapana
Kawa babu ila anapiga mapanga badoAnasema ukijichanganya unakula za moto vabaa.. 😁
WamepwayaBack vocal hapana
Pumzi 0Huyu stara Thomas siku hiz yupo wapi anaongea kama mtu wa mambele
Kijana wa manjesta unatukana na goti wetu wewe ndio unazingua bwashee 😅😅😅Unazingua bablai😂😂
Ila amejitahidi sanaNimesoma hapo juu GK naye sauti imekwama.
MwiliPumzi 0
KaokokaHivi K basil yupo wapi siku hizi??
Ngoja kwanza tuburudike na Saida KaroliKijana wa manjesta unatukana na goti wetu wewe ndio unazingua bwashee 😅😅😅