Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Oya tumezeeks wazee nyakati zimetutupa
Hakuna,Stara amekuwa na stara kama jina lake, naona wadau bado wanamkubali sana
Nyuki DJ ulikuwa unakutana na akina Muli B, DJ Vencha na wengineoYes hapa nimekumbuka hili jina na ile tag yake. Ila sikuwa nakumbuka nimesikia rdido gani, nilidhani Clouds. Ila ni miaka ile ile 2010 pale.
Mara ya mwisho kusikiliza redio ni 2016.
Nimesoma hapo juu GK naye sauti imekwama.Hadi sasa wasanii wazima wa sauti ni
Banana Zorro
Joslin
Kassim Mganga
Mwana FA
AY
Gk
Wengine wote Chali..sauti hakuna.
Hamna msanii ameimba vibaya kama Tundaman.. yaani tunda jamani kaimba hovyo kuliko wengine wote.
Oyaaaa so pw, hapa ndo unajua kuna kufaa.Oya tumezeeks wazee nyakati zimetutupa
Nyimbo zenyewe asipotaja chakula sijui, acha abebe stikiTemba ana mkataba na stick?
Jamaa muda wote stick ipo mdomoni
Majungu ya tarabu bwasheeStara Thomas kuna chorus ya wimbo wa Sugu aliitendea haki sana
“Wanachotaka wewe upate tabu”
Kavaa vzr kawa mshangazi, hana mambo mengiiHakuna,
OyaaaaaNyuki DJ ulikuwa unakutana na akina Muli B, DJ Vencha na wengineo
lia tu mkuuNatamani hata kulia oyaa maisha ni nyakati zikipita baaasiii
Taarabu kwenye mpira😁Kavaa vzr kawa mshangazi, hana mambo mengii
SijakuelewaMajungu ya tarabu bwashee
Kr mulla jibaba CD 700
Domokaya na Starq Thomas wameongezekaHadi sasa wasanii wazima wa sauti ni
Banana Zorro
Joslin
Kassim Mganga
Mwana FA
AY
Gk
Wengine wote Chali..sauti hakuna.
Hamna msanii ameimba vibaya kama Tundaman.. yaani tunda jamani kaimba hovyo kuliko wengine wote.
YesNimesoma hapo juu GK naye sauti imekwama.
Sio poa mkuu!! Enzi hizo unakutana na akina Arnold Kayanda ndio makontawa hapo Clouds FMOyaaaaa