Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Huo ukumbi ulifanya nifukuzwe hostel pale azania sekondari wakati nipo form 3. Kulikua na disco hapo tukatoroka hostel usiku kwenda diamond jubilee. Mshkaji mmoja wa form 6 alirudi kalewa akawafanyia fujo madogo wa form 1 bwenini kwao. Alipelekwa polisi usiku kesho yake akatembezewa kichapo halafu anaambiwa ataje aliokua nao. Kila anaekuja anamtaja mtu wake mpaka na mimi nikatajwa. Sema mimi nilikaza sikumtaja yoyote. Tuliotoloka siku hiyo wote tukafukuzwa hostel za shuleviatu vya ali choki vilikuwa wazi huku kwenye visigino😂😂
Tshirts za Nelly pia zilitamba sana
Unakumbuka Diamond Jubilee