...Kuhusu kusubiri,kuwa mwaminifu au kutumia kondom...Umenikumbusha mbali sana
Unakumbuka ile ngoma ya Usione soo sema nae
...Kuhusu kusubiri,kuwa mwaminifu au kutumia kondom...Umenikumbusha mbali sana
Unakumbuka ile ngoma ya Usione soo sema nae
Hatari sanaMr. Paul_Nakuzimia
View attachment 3626745
Daman Dada😂😂 mkuu uko vizuri
Apige Bishoo, hapo atakua ameuaJay MO
Ila ngada noma,masela wote wawili sura zimefanana na wasomali Ile kitu nadhani inamaliza maji mwiliniFeruz aliwahi kutunga ngoma ya kijana mteja akimdiss mwane Daz Baba
Mungu sio Mafwele, nae akaishia kula ngada.
We jamaa Mkongwe sana wallahHatari mzee! Nelly alilet staili ya kuweka ka plasta kwenye shavu, unavaa ribbon au kofia isoyofunga juu. Jeans unapiga DADA, snika kali ya Ali choki, T-shirt ya East coast Team chata ya KIRAKA. 😎
viatu vya ali choki vilikuwa wazi huku kwenye visigino😂😂Hatari mzee! Nelly alilet staili ya kuweka ka plasta kwenye shavu, unavaa ribbon au kofia isoyofunga juu. Jeans unapiga DADA, raba Ali choki, T-shirt ya East coast Team chata ya KIRAKA. 😎
Yaah unazeeka kabla ya muda wakoIla ngada noma,masela wote wawili sura zimefanana na wasomali Ile kitu nadhani inamaliza maji mwilini
Kwa heshima ya Albert MagweaKimya kimya
We jamaa Mkongwe sana wallah
Mimi siyo kaka.Kuna kitu kinaitwa status kk
KapafonaaaaaaHapa mamba dudubaya nae aje alete miyeyusho yake
😃Ulikuwa form ngapi mkuuMimi nimeshuhudia huu mziki kwa kuiishi, mimi nimenunua albamu ya Mangwair a.k.a Mimi kwa pesa ya tuisheni. Ndio maana mpaka sasa sijalala nacheki hii burudani. Anaakisi maisha yangu. Nakumbuka mbali. 😊
Huku kwetu nyie wa style hizo tulikuwa tunawaita kina tozi nyangema 😀😀Hatari mzee! Nelly alilet staili ya kuweka ka plasta kwenye shavu, unavaa ribbon au kofia isoyofunga juu. Jeans unapiga DADA, snika kali ya Ali choki, T-shirt ya East coast Team chata ya KIRAKA. 😎