min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mhmm kwamba mimi na matusi Mrs Liverpool?Ni muziki mzuri hauna matusi
Kuna Gospel za siku hizi zina michambo kuliko hizi nyimbo za kina 20%
Mhmm kwamba mimi na matusi Mrs Liverpool?Ni muziki mzuri hauna matusi
Kuna Gospel za siku hizi zina michambo kuliko hizi nyimbo za kina 20%
SanaOyaa kiba apige ngoma ya mackmuga na run duniaa itakuwa unyama sanaa
Kafanyaje
Apande saa 3 yani hata mabaga fresh badoAlikiba ana dharau sana
Mbona Chege alimuita hakupanda
Halafu yuko na muonekano mzuri. Kuna wengine wamekaa kibange bange tu 😀Nilimuona tangu kwenye interview
He's amazing 😍
Oh
I Love you Joslin 🔥
Sema huyo ni legend. Kaanza mziki zamani kidogo. Sema kabla ya sindelela jina lake halikua kubwa sanaKapanda stejini na hakuwa kwenye ratiba
Uswahili
Joslin Mnyamwezi sana😍🔥🔥Halafu yuko na muonekano mzuri. Kuna wengine wamekaa kibange bange tu 😀
Kuna kitu kinaitwa status kkAlikiba ana dharau sana
Mbona Chege alimuita hakupanda
Ooohh jamani!Aligoma nasikia. Sina hakika kama atakuwepo. Ngoja tuone.
Xiaomi ametuwekea infrared aisee kwenye simu zake, huwa nainjoi kucontrol tv, ac nk bila kuwa na rimotiSana mkuu..
Kabla ya bluetooth nawakumbusha watu kulikuwa na infared