Hivi na MB Dog yupo kwenye list?
Nae wa moto
Aligoma nasikia. Sina hakika kama atakuwepo. Ngoja tuone.
Hivi na MB Dog yupo kwenye list?
Nae wa moto
HayupoAligoma nasikia. Sina hakika kama atakuwepo. Ngoja tuone.
Ndio amehusika.Hivi mchizi mox anahusika Leo?
Kazi na umri.Hawa ma legend pumzi hawana na njaa kali sanaa
Walau TMk walijitahidi kiais chake.
Wengineo utopolo tu
😀 tumeamua kujiamulia mamboWalokole mnaruhusiwa hizi
NakaziaHawa ma legend pumzi hawana na njaa kali sanaa
Walau TMk walijitahidi kiais chake.
Wengineo utopolo tu
Nilimuona tangu kwenye interviewHuyu hakutuangusha fans
Nyie😃 ila kuna walokole vichwa😁😀 tumeamua kujiamulia mambo
Ni muziki mzuri hauna matusiWalokole mnaruhusiwa hizi
KafanyajeKiba kashindwa kuvumilia😂
Kumbe mwamba yupo bongo.. Ile ngoma yao ya sifai mazee walikuwa sana...Maisha haya bana,2013 nimekutana na Joslin ametoka Dar kafikia Mwanza geto kwa masela wa chuo Cha SAUT wanapiga ugolo na nyagi tu.