Hii events kiba hajaalikwa?Hujaalikwa…usiende
Hii events kiba hajaalikwa?Hujaalikwa…usiende
😂😂Apande saa 3 yani hata mabaga fresh bado
Huyo joslin nae bangi sana tu. Sema kajiweka ki-gentleman fulani hivi kimtindoHalafu yuko na muonekano mzuri. Kuna wengine wamekaa kibange bange tu 😀
Aaha basi wako vizuriXiaomi ametuwekea infrared aisee kwenye simu zake, huwa nainjoi kucontrol tv, ac nk bila kuwa na rimoti
Hamna kitu humoBlue mbona sikusikii
Huu wimbo ni mkali kwa sababu ya Dully. Dully hajawahi kuharibu chorus.Aliimba Dully kiitikio, ngoma ni ya Abby Skillz. 😊
Hakuwepo kwenye list. Nahisi yeye mwenyewe aliamua akae pembeni ili wenzake nae waokoteHii events kiba hajaalikwa?
Uvumilivu umemshinda.He's on the Stage
🔥🔥🔥🔥🔥TMK ni wanaume kweli. Hawakukosea kujitia hivyo 🔥🔥
AmepaniaAbby Skillz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣TMK mbona kama wana vibe. Hawa niliwahi shindana nikacheza staili yao ya mapanga ili nipewe soda. Sikupewa nilidhurumiwa.
Sana yaani anajitutumua sanaAmepania
Huu wimbo ni mkali kwa sababu ya Dully. Dully hajawahi kuharibu chorus.
Angalia page ya clouds InstagramHii kitu mnaaongelea humu naweza angalia wapi ? Hapa nipo na simu tu , bado nipo kazini 🤔