Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #661
Nini mnataka mazee
Zipo tano.Unazidi kuongeza idadi tu mkuu
Ziko mbili full stopZipo tano.
Kaa na wakubwa zako wakwambie.
Jamaa anaimba poa sanaNini mnataka mazee
K basil, Bizman, OCG mzee wa Akwelina, Mr. Paul wa ZuwenaP WA Black, Gen-Z kibao hawamjui. 😊
Alipiga ngoma moja kali akapotea. Kama Rado tuu.
Imagine.... 🤔Daz Baba nae yupo kama kibaka, hana AURA
Simple and clearJamaa anaimba poa sana
Pig BLACK, Nini mnataka Mazee... majani hii beat aliitendea haki. Ilikua inatumika sana kama intro kwenye kipindi cha Planet Bongo EATV enzi hizo Channel 5