Umenikumbusha mbali sanaNdio alipewa Jeep. Mkapa UKIMWI ulimtesa sana kuudhibiti kama raisi. Enzi zile hakuna dawa unakufa 2KG. 😊
Alipewa maelekezoSema hii alikanusha,aliwahi hojiwa akasema alinunua kwa pesa zake
Feruzi Mrisho anafata bila shaka
Umenikumbusha mbali sana
Unakumbuka ile ngoma ya Usione soo sema nae
Maccm tumeyazodoa sanaaaa mamamaaaaeeeeeMuda huu lile tamasha la miaka 30 limeanza katika ukumbi wa Mlimani City.
Wasanii wa zamani wanapanda jukwaani kutukumbusha zile ladha za miaka ile.
Vijana wa miaka ile njooni hapa Live updates ziko hapa kwenye uzi huu…
Show iko live kupitua Sinema Zetu, TvE, Clouds Tv
Daman Dada😂😂 mkuu uko vizuriTangazo la kampeni za ISHI, enzi hizo kuna jeans zinaitwa FUBU, DADA, Sean John au Zeezle. 😊
Mr. Paul_NakuzimiaK basil, Bizman, OCG mzee wa Akwelina, Mr. Paul wa Zuwena
Nina uhakika Gen Z wengi hawawajui
Aimbe nini sasa?P wa black wamempa mda mchache
Ahsante sana mkuuMr. Paul_Nakuzimia
View attachment 3626745