UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

viatu vya ali choki vilikuwa wazi huku kwenye visigino😂😂

Tshirts za Nelly pia zilitamba sana

Unakumbuka Diamond Jubilee

Vile viatu havikuwa na kamba, unachomeka tuu. Viliitwa ALI CHOKI, sababu alichoki ndio alipenda sana kuvivaa na vika trend kama fasheni.
Ulikuwa ukipiga pensi ya jeans, vinapendeza sana. 😊
 
Kalapina
Na kikosi cha kazi
 

Attachments

  • PXL_20260710_232728412.jpg
    PXL_20260710_232728412.jpg
    1.5 MB · Views: 14
  • PXL_20260710_232716891.jpg
    PXL_20260710_232716891.jpg
    1.5 MB · Views: 14
Back
Top Bottom