Dj amemkatiliHuyu Matonya kachemka, hana plan aisee!
Kabisa kabisa broEzden Jumanne baada ya zile picha zake kwenda vairo alibadilika jumlaaa.🤗 Heri kwake
Mara Ali kiba njoo mwanangu jukwaani, show yetu hii😂😂All in All show ya kawaida sana. Kwa kiingilio cha laki 1 huu ni upuuzi. Ilikuwa iwe live performance tena kisasa zaidi sio haya makelele ya DJ tulia sijui piga kelele mara mic moja aina nguvu ujinga mtupu
Sahihi mkuuNostalgia inatusumbua
nakumbuka enzi hizo mabishoo walikuwa wanaenda kukodisha pamba (bling bling)
Ilichukua muda sana ku-heal hilo tukio bila shakaUbishoo ilikuwa lazima uwe angalau unatokea familia flani chapaa ipo. Nakumbuka Jeans tulikuwa tunanunua 15k miaka ile. 😊
Nakumbuka nilikuwa napiga mizinga sana ya tuisheni ninunue pamba.
Kuna kiatu kimoja nilinunua wezi wakaniibia siku hiyo hiyo, LUGZ.