Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #761
FILA,FUBU,Ma nguo ya G-Unit yale
Dah nimekumbuka mbali sanaYeah! Tulikuwa tunanunua t-shirt unaikata mikono na mkasi. 😊
Nashangaa siku hizi madogo wanamodoa jeans. 😊
Jeans sisi tulikuwa tunavaa chini unaofunga na kamba, isiburuze chini. 😊
Miaka flani hivi kulikuwa na traki pana hivi za special tena nyingi ni rangi nyekundu na nyeupe na kamba zake huku chini, sijui umezikumbuka