Yupo na dully sykes. Kuna nyingine mimi na wewe yupo na mr.blue. Jamaa hakuvuma kivile lakini aliziotea hit songs mbili tatuKuna ngoma moja ya Abby inaitwa nakupenda, alitengeneza Marehemu Roy wa G Records. Hatari mno.
Liverpool upo?Anakuja Chidi mwenyewe
Mwenye sauti ya Zege
Afunge na Dar stand-up
Wimbo wa taifa la Dar es salaam
Wasanii wako bize kwenye kuokota
Njaa ni kali sanaAjabu, ilitakiwa awepo mtu anaekota maokoto msanii ajikite kuimba. Wanapata wenge, wanaacha kuimba. 😊
Walokole mnaruhusiwa hizi
Joslin leo kaimba live sanaJoslin kambeba huyu Dully. Dully wamtoe hajajipanga asipotezee nafasi wengine.
Kazi kukusanya pesaDully nae ni venye anakubalika ndio maana alaeta miyeyusho
Njaa ni kali sana
KanichoshaMwasiti nae ni chawa
Huyu hakutuangusha fansAsh Joslin I Love you🥰💞💞💞